Janet Mumbi

BALOZI WA UJERUMANI AMEAHIDI USALAMA UTAIMARISHA KWENYE FUO ZA BAHARI PWANI

Balozi wa Ujerumani nchini Kenya Sebatian Groth amesema mikakati imewekwa ya kuimarisha usalama katika fuo za bahari na maeneo ya kitalii kanda ya pwani. Akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya polisi kaunti ya Mombasa amesema hawana hofu kuhusu usalama wa taifa hili na kuahidi kutakuwa na wageni kutoka Ujerumani ambao watazuru nchini Kenya. Kulingana […]

BALOZI WA UJERUMANI AMEAHIDI USALAMA UTAIMARISHA KWENYE FUO ZA BAHARI PWANI Read More »

WENYEJI WA TANA RIVER WATAKIWA KUTUMIA KILIMO KUNYUNYIZA MAJI KWA KUTUMIA KAWI YA JUA

Waziri wa kilimo katika serikali ya kaunti ya Tana River Pharis Buya amewataka wenyeji kuanza kutumia kilimo cha Kunyunyiza maji kwa kutumia kawi ya jua akisema mabadiliko ya hali ya anga yameathiri misimu wa kushuhudiwa mvua. Buya amesema imekuwa vigumu kutabiri mvua kwani kuna wakati zinachelewa au hata kukosa kushuhudiwa hali ambayo imekuwa ikichangia kushuhudiwa

WENYEJI WA TANA RIVER WATAKIWA KUTUMIA KILIMO KUNYUNYIZA MAJI KWA KUTUMIA KAWI YA JUA Read More »

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA

Baadhi ya viongozi wa kamati la bunge la kaunti ya Kilifi wameanza mahojiano ya kuwapiga msasa walioteuliwa na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro kuhudumu kwa wizara mbalimbali kaunti ya Kilifi. Viongozi hao wanaongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Kilifi ambaye pia ni mwenyekiti Teddy Mwambire kwenye kikao cha kuwapiga msasa mawaziri

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA Read More »