Paps Mkare

KARIM BENZEMA ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MWAKA HUU, SADIO MANE AKISHINDA TUZO YA UTU

Kwenye tuzo za Ballon d’or ambazo zimefanyika usiku wa kuamkia leo ni kwamba mashambuliaji wa Real Madrid pamoja na taifa la Ufaransa mwite Karim Benzema sasa ndiye mshindi wa tuzo ya Ballon d’or mwaka huu. Anakuwa mfaransa wa tano katika historia ya soka kushinda tuzo hiyo yenye hadhi kwa mchezaji ambaye alifanya bora zaidi duniani […]

KARIM BENZEMA ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MWAKA HUU, SADIO MANE AKISHINDA TUZO YA UTU Read More »

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO

Klabu ya Real Madrid kule Uhispania iliitandika klabu ya Barcelona katika mtanange maarufu wa El clasico uliofanyika dimbani Santiago Barnebou uliotamatika kwa vijana na Carlo Ancelloti kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Bao la mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema, goli la Fede Valverde na lile la kinda wa Brazil Rodrigo katika

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO Read More »