AISHA JUMWA APIGWA MSASA
Aliyekuwa mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa amekanusha madai ya mauaji dhidi ya familia ya marehemu Ngumbao Jola, katika wadi ya Ganda eneo la Malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza jana mbele ya kamati ya uteuzi katika bunge la kitaifa, alipokuwa akipigwa msasa katika uteuzi wake wa uwaziri umma na jinsia, amesema baadhi ya […]
AISHA JUMWA APIGWA MSASA Read More »



