GAVANA ACHANI AWATAKA WANAWAKE KUWEKA JUHUDU ZAIDI KATIKA UONGOZI
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ametoa wito kwa Jamii kutumia vyema mitandao ya kijamii kwenye masuala ambayo yatawafaidi na sio kuitumia kuwadunisha wanawake ambao wanapania kujiunga na siasa. Katika taarifa yake kwa wenyeji wa kaunti hiyo, Achani ametolea mfano wa wakati alipokuwa akiendeleza kampeni zake za kuwania wadhifa wa ugavana ambapo baadhi ya […]
GAVANA ACHANI AWATAKA WANAWAKE KUWEKA JUHUDU ZAIDI KATIKA UONGOZI Read More »


