Paps Mkare

BOSUSTER YAUGULIA KICHAPO PRISON DHIDI YA ZAMALEC, MKUFUNZI JEFFA AKISIFU WAPINZANI

Vilabu vya mashinani vya soka vinazidi kujitayarisha kwa msimu mpya wa mwaka 2022/2023 na mechi za kirafiki zinazidi kurindimwa. Wikendi hii vijana wa Pwani Fc waisafiri hadi mjini malindi kuvaana na Furunzi fc inaoongozwa na mkufunzi Nero Chishenga mtanange ilotamatika kwa sare ya bao 1-1. Katika uwanja wa Prison eneo bunge la malindi kaunti ya […]

BOSUSTER YAUGULIA KICHAPO PRISON DHIDI YA ZAMALEC, MKUFUNZI JEFFA AKISIFU WAPINZANI Read More »

TALENT FC YAITANDIKA RED REVENGERS KICHAPO CHA AIBU DIMBANI LUGWE

Huku msimu wa 2021/2022 wa ligi ya eneo bunge la Rabai kaunti ya kilifi ukizidi kupamba moto baada ya kusimama mara kadhaa ikiwemo kipindi cha uchaguzi mkuu wa agosti 9, wikendi hii mechi mbili kubwa zilirindwa. Katika uwanja wa Mwanjama vijana wa Alaskan FC waliokuwa katika uwanja wao wa nyumbani waliibutua Ribe united kichapo cha

TALENT FC YAITANDIKA RED REVENGERS KICHAPO CHA AIBU DIMBANI LUGWE Read More »