GAVANA WA KILIFI ASEMA SERIKALI YAKE HAIJAWEZA KUWASILISHA BAJETI YA ZIADA
Serikali ya kaunti ya Kilifi imetakiwa kushughulikia swala la ukame, kwa kuweka mikakati ya kutosha ili kuhakikisha wakaazi wanapewa msaada wa kutosha na kuzuia maafa katika maeneo yaliyoathirika zaidi. Hii ni baada ya gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mungaro, kueleza kuwa serikali yake haijaweza kuwasilisha bajeti ya ziada, katika bunge la kaunti kwani bado […]
GAVANA WA KILIFI ASEMA SERIKALI YAKE HAIJAWEZA KUWASILISHA BAJETI YA ZIADA Read More »



