Janet Mumbi

RAIS RUTO ASEMA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA KALONZO MUSYOKO

Rais William Ruto amesema kuwa yuko tayari kufanya kazi na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka kwa manufaa ya wenyeji wa ukambani ila Kalonzo mwenyewe hajaonyesha nia ya kukubaliana na hatua ya kushirikiana na serikali. Akizungumza hapo jana katika ibada ya shukrani kwenye kanisa la AIC kaunti ya Kitui, rais Ruto amesema kuwa alichukua hatua ya […]

RAIS RUTO ASEMA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA KALONZO MUSYOKO Read More »

KAMISHNA WA TAITA TAVETA ASEMA WANATARAJIA KUPOKEA MSAADA WA CHAKULA

Kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Loyford Kibaara amesema kuwa wanatarajia kuanza kupokea chakula cha msaada kutoka kwa serikali kuu. Amesema chakula hicho kitakabidhiwa wale ambao wameathirika na baa la njaa katika kaunti hiyo. Akizungumza katika kaunti hiyo amezitaka kamati ambazo zitashughulikia ugavi wa chakula hicho kukakikisha kinapewa walengwa bila kumbagua yeyote. Aidha, amesema viongozi

KAMISHNA WA TAITA TAVETA ASEMA WANATARAJIA KUPOKEA MSAADA WA CHAKULA Read More »

UJENZI WA MABWAWA MBALIMBALI UNAENDELEZWA KAUNTI YA KWALE

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema tayari serikali kuu imewasilisha chakula cha msaada kwa wenyeji ambao wanaendelea kukabiliwa na baa la njaa. Fatuma amesema chakula hicho kitasaidia kwa kiasi Fulani kudhibiti baa hilo, mikakati kabambe inapoendelea kuwekwa na serikali ya kaunti ili kutatua hali hiyo. Gavana huyo amesema wanaendeleza ujenzi wa mabwawa mbalimbali

UJENZI WA MABWAWA MBALIMBALI UNAENDELEZWA KAUNTI YA KWALE Read More »