Janet Mumbi

KAMATI YA KUKABILIANA NA UKAME KWAUNTI YA KWALE YAWEKA MIKAKATI THABITI

Kamati ya kukabiliana na ukame kaunti ya Kwale imeweka mikakati ya kudhibiti visa vya wizi wa chakuka cha msaada kwa wenyeji ambao wameathirika na baa la njaa. Haya ni kulingana na naibu Kamishna wa eneo bunge la Matuga Lucy Ndemo ambaye amesema ni lazima walengwa wapate chakula chao cha msaada kama inavyopaswa kulingana na taratibu […]

KAMATI YA KUKABILIANA NA UKAME KWAUNTI YA KWALE YAWEKA MIKAKATI THABITI Read More »

LYDIAH HAIKA AWATAKA WALIMU WAKUU TAITA TAVETA KUTOWAFUKUZA WANAFUNZI

Mwakilishi wa kike kaunti ya Tata Taveta Lydiah Haika amewataka walimu wakuu kuwaruhusu wanafunzi kuendelea na masomo yao licha ya kuwa wanadaiwa karo. Haika ambaye alikuwa akizungumza kwenye kaunti hiyo, amesema kutokana na hali ngumu ya maisha ambayo inaendelea kuwakabili wananchi wazazi wanapitia wakati mgumu kulipa karo ya watoto wao. Vilevile, amewataka walimu kuhakikisha masomo

LYDIAH HAIKA AWATAKA WALIMU WAKUU TAITA TAVETA KUTOWAFUKUZA WANAFUNZI Read More »

WATU WENYE UWEZO MAALUM KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJISAJILI

Watu wanye uatilifu kaunti ya Kilifi wametakiwa kujisajili katika bodi inayosimamia watu wenye uwezo maalum na kupewa vitambulisho maalum ili kunufaika na misaada mbalimbali ya serikali kuu inayowalenga. Haya ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa watu wenye uatilifu kaunti ya Kilifi Jacob Sirya, ambaye amesema iwapo watasajiliwa watanufaika zaidi kwani itakuwa rahisi kwao kupata ufadhili

WATU WENYE UWEZO MAALUM KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJISAJILI Read More »