SERIKALI YAOMBWA KUSULUHISHA MGOGORO NA FIFA
Kocha mkuu wa timu ya Shabana fc inayocheza ligi ya daraja la pili maarufu kama National Super League Sammy Okoth ameiomba serikali kuchukua hatua haraka kumaliza mgogoro wake na shirikisho la soka la kimataifa FIFA ili shughuli za soka zirudi katika hali yake ya kawaida nchini. Mkufunzi Okoth, ambaye timu yake ilimaliza nafasi ya sita […]
SERIKALI YAOMBWA KUSULUHISHA MGOGORO NA FIFA Read More »



