MAINA NGUNYI ASEMA SERIKALI KUU INASHIRIKIANA NA YA TAITA TAVETA
Naibu kamishna eneo la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta Maina Ngunyi amesema serikali kuu inashirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha inakabiliana na janga la Ukame. Kulingana na Ngunyi vyanzo vingi vya maji vimekauka hali ambayo imekuwa ikisababisha wenyeji kutembea mwendo mrefu kusaka maji safi ya matumizi. Amesema hali hiyo ya kukauka kwa vyanzo vya maji kunawapa […]
MAINA NGUNYI ASEMA SERIKALI KUU INASHIRIKIANA NA YA TAITA TAVETA Read More »



