Janet Mumbi

SHAKILLA ABDALLA AMTAKA RAIS RUTO KUWAPA WATU WA LAMU NAFASI ZA UONGOZI

Seneta mteule katika kaunti ya Lamu Shakilla Abdalla amesema kuna haja ya rais William Samoei Ruto kuwapa nafasi za uongozi wenyeji wa kaunti hiyo kwenye ngazi za kitaifa ili kaunti hiyo iweze kuwakilishwa kiukamilifu. Amesema katika serikali kuu bado kuna nafasi za makatibu wakuu na mabalozi ambazo zimesalia hivyo basi wenyeji wa kaunti hiyo wanapaswa […]

SHAKILLA ABDALLA AMTAKA RAIS RUTO KUWAPA WATU WA LAMU NAFASI ZA UONGOZI Read More »

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI

Wakuu wa vilabu vya mashinani wanasema wanafurahishwa sana na makuzi ya talanta za soka za vijanza wao katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti alasiri ya leo Kennedy Rimba ambaye ni mkufunzi mkuu wa kikosi cha bosuster kilichojisajili kwa ligi ya fkf ya tawi la eneo bunge hilo amasema

WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI Read More »