Paps Mkare

SULUHISHO LA SOKA LITAPATIKANA HIVI KARIBUNI – ABABU NAMWAMBA

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amasema anaimani suluhisho la soka hapa nchini litapatikana hivi karibuni. Hii ni baada ya kuanza mazungumzo na fifa kuona ni jinsi gani marufuku ya fifa itaondolewa ili soka la Kenya la shirikisho la fkf litaanza kutambulika kimataifa. Ababu amehakikishia wadau wote wa soka hapa nchini taratibu zote zitafuata kuona soka […]

SULUHISHO LA SOKA LITAPATIKANA HIVI KARIBUNI – ABABU NAMWAMBA Read More »

WENYEJI WA TANA RIVER WANATARAJIA KUSHUHUDIA MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa fedha kaunti ya Tana River Mathew Baboya emesema serikali ya kaunti hiyo kwa sasa iko katika nafasi nzuri ya kutekeleza miradi ambayo itawafaidi wenyeji kwa kiwango kikubwa. Kwa mujibu wa Waziri huyo anadai katika awamu ya kwanza ya uongozi wa gavana wa kaunti hiyo Dhadho Godhana, serikali hiyo ilikabiliwa na changamoto kutokana na

WENYEJI WA TANA RIVER WANATARAJIA KUSHUHUDIA MIRADI YA MAENDELEO Read More »

WASOMO KWENYE DINI YA KIISLAMU NCHINI YATAKA MASOMO YA MADRASSA KUJUKUISHWA KWENYE CBC

Mikakati inapoendelea kuwekwa zaidi kuhakikisha mtaala mpya wa umilisi CBC unatekelezwa ipasavyo, sasa wasomi wa dini ya Kiislamu nchini wanapendekeza masomo ya Madrassa kujumuishwa kwenye mtaala huo ili watoto wa dini hiyo wasibaki nyuma. Wasomi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Daktari Sheikh Hassan Kinyua Omar wanadai masomo ya Madrassa hayajajumuishwa kwenye mtaala huo na kusema

WASOMO KWENYE DINI YA KIISLAMU NCHINI YATAKA MASOMO YA MADRASSA KUJUKUISHWA KWENYE CBC Read More »