Janet Mumbi

VIONGOZI WA DINI KAUNTI YA MOMBASA WATAKA CHAKULA CHA MSAADA KUWAFIKIA WALENGWA

Viongozi wa dini kaunti ya Mombasa wametoa wito kwa waliotwikwa jukumu la kusambaza chakula cha msaada kwa wakenya wanaokabiliwa na baa la njaa kuhakikisha kinawafikia walengwa. Akizungunza katika hafla ya kutoa shukrani katika kanisa la ACK Cathedral kaunti ya Kombasa Kasisi Alphonse Baya amesema itakuwa kinaya kuona matajiri wakinufaika na chakula hicho huku waathiriwa wakiendelea […]

VIONGOZI WA DINI KAUNTI YA MOMBASA WATAKA CHAKULA CHA MSAADA KUWAFIKIA WALENGWA Read More »

GOLDEN STATE WARRIORS NDIO WAKWASI WA NBA KULINGANA NA FORBES

Wabingwa wa msimu uliopita wa mashindano ya NBA Golden State Warriors kule Marekani ndio wamesimama kileleni kwenye orodha ya vilabu vyenye hela ndefu zaidi katika mchezo huo kwa sasa. Kulingana na gazeti rasmi la Forbes ni kuwa Golden State Warriors kama klabu inathamani ya Bilioni 850 pesa za Kenya na sasa wamewapiku New York Knicks

GOLDEN STATE WARRIORS NDIO WAKWASI WA NBA KULINGANA NA FORBES Read More »