Paps Mkare

AMINA MOHAMED APEANA MIKOBA KWA ABABU NAMWAMBA.

Balozi Amina Mohamed waziri anayeondoka kwenye wizara ya michezo mchana wa leo akipeana mikoba kwa waziri mpya Ababu Namwamba amemtakia kila laheri katika majukumu yake mapya akisema kwamba anaimani Ababu anauwezo wa kutekeleza ajenda zote alonazo pamoja na kuimarisha michezo hapa nchini Kwa upande wake Ababu Namwamba ambaye anarejea katika wizara hiyo kwa mara ya […]

AMINA MOHAMED APEANA MIKOBA KWA ABABU NAMWAMBA. Read More »

VIONGOZI WA KIDINI KAUNTI YA LAMU WAITAKA SERIKALI KUSHUGHULIKIA GHARAMA YA JUU YA MAISHA

Viongozi wa kidini katika kaunti ya Lamu wameshinikiza serikali ya kitaifa kushukisha gharama ya bei ya chakula hasa bei ya unga wa ugali ili wanachi wapate afueni . Wakizungumza wakiwa Mpeketoni wamesema ugali ni chakula kinacholiwa na idadi kubwa ya wananchi na kwamba kwa sasa wengi wamekosa chakula majumbani kutokana na bei ya juu ya

VIONGOZI WA KIDINI KAUNTI YA LAMU WAITAKA SERIKALI KUSHUGHULIKIA GHARAMA YA JUU YA MAISHA Read More »

HIMIZO LAZIDI KUTOLEWA KWA WATU WENYE UATILIFI KAUNTI YA KILIFI KUJISAJILI

Mwakilishi wa watu wenye uatilifu kaunti ya Kilifi, Tima Abu amesisitiza haja ya watu wenye uwezo maalumu kusajiliwa ili kurahisisa zoezi la kuwapatia misaada ya msingi watu hao wenye uwezo maalum. Akizungumza katika kikao cha kutoa hamasa kwa jamii kuhusiana na watu wenye uatilifu, kikao kilichoandaliwa na shirika la Women challenged to challenge, Tima amesema

HIMIZO LAZIDI KUTOLEWA KWA WATU WENYE UATILIFI KAUNTI YA KILIFI KUJISAJILI Read More »