lulufm

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI

Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Margaret Chibule amesema kaunti ya Kilifi sasa imeanza kushuhudia ongezeko la idadi ya watoto, wanaopachikwa ujauzito wakiwa chini ya umri wa miaka 13. Naibu gavana huyo amethibitisha kupokea taarifa za watoto watano waliochini ya umri huo, ambao wamepata ujauzito katika sehemu mbalimbli za kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika eneo […]

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI Read More »

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI

Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Margaret Chibule amesema kaunti ya Kilifi sasa imeanza kushuhudia ongezeko la idadi ya watoto, wanaopachikwa ujauzito wakiwa chini ya umri wa miaka 13. Naibu gavana huyo amethibitisha kupokea taarifa za watoto watano waliochini ya umri huo, ambao wamepata ujauzito katika sehemu mbalimbli za kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika eneo

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI Read More »