lulufm

MIKAKATI YAWEKWA NA SERIKALI YA LAMU KUDHIBITI WIZI WA MADAWA KWENYE VITUO VYA AFYA

Serikali ya kaunti ya Lamu inalenga kutumia mfumo wa kidijitali katika vituo vya afya ili kupunguza wizi wa dawa. Gavana wa kaunti hiyo Issa Abdallah Timammy amesema wizi wa dawa umekuwa changamoto kubwa inayokabili idara ya afya kaunti hiyo hali inayodunisha utoaji huduma bora za afya katika kaunti hiyo. Gavana Timammy amesema kuwa mpango huo […]

MIKAKATI YAWEKWA NA SERIKALI YA LAMU KUDHIBITI WIZI WA MADAWA KWENYE VITUO VYA AFYA Read More »

JAMII TAITA TAVETA YASHAURIWA KUANZISHA MFUMO WA KILIMO CHA BUSTANI

Afisa wa mipango katika shirika la umoja wa mataifa la chakula ulimwenguni FAO, katika kaunti ya Taita Taveta Abedi Mbatha ameishauri jamii kuendekeza kilimo cha bustani katika makazi yao kama mbinu mojawapo ya kuimarisha uzalishaji wa chakula. Mbatha amesema kuwa iwapo kila jamii itaanzisha mfumo wa kilimo cha bustani majumbani mwao ni wazi kuwa kiwango

JAMII TAITA TAVETA YASHAURIWA KUANZISHA MFUMO WA KILIMO CHA BUSTANI Read More »