Janet Mumbi

IDADI YA WALIOCHANJWA CHANJO YA COVID -19 KAUNTI YA KILIFI IKO CHINI

Imebainika kuwa idadi ya wakaazi wa kaunti ya Kilifi waliochanjwa dhidi ya virusi vya Corona kaunti ya Kilifi ni ndogo mno ikilinganishwa na matarajio ya wizara ya afya kuhusiana na utoaji wa chanjo hiyo. Shirika la msalaba mwekundu limesema ni asilimia 19 pekee ya wakaazi wa kaunti ya Kilifi waliochanjwa dhidi ya virusi hivyo hali […]

IDADI YA WALIOCHANJWA CHANJO YA COVID -19 KAUNTI YA KILIFI IKO CHINI Read More »

ZIWA KENYATTA KAUNTI YA LAMU YAENDELEA KUKAUKA

Ukame pamoja na uvamizi wa ardhi kando kando ya Ziwa Kenyatta eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu umesababisha ziwa hilo kuendelea kukauka. Kwa mujibu wa serikali ya kaunti ya lamu, Asilimia 75 ya Ziwa Kenyatta imekauka kutokana na shughuli mbalimbali zinazoendelea kufanyika karibu na ziwa hilo. Ziwa hilo hutegemea maji ya Mvua yanayopitia mikondo ya maji inayoanzia

ZIWA KENYATTA KAUNTI YA LAMU YAENDELEA KUKAUKA Read More »

Intrinsic and extrinsic properties philosophy Wikipedia

Contents Double Top Pattern Explained | Trading & Technical Analysis What is Intrinsic Motivation & How Does it Work? External regulation Origin of Intrinsic Translations of intrinsic Ways HubSpot Managers Keep Teams Motivated Before the Holidays First, there is the possibility, mentioned above, that the terms traditionally used to refer to intrinsic value in fact

Intrinsic and extrinsic properties philosophy Wikipedia Read More »