Janet Mumbi

BAADHI YA WALIMU TAITA TAVETA WATAKA CBC KUTUPILIWA MBALI

Baadhi ya walimu kaunti ya Taita Taveta wameitaka serikali kuutupilia mbali mtaala mpya wa umilisi wa CBC na badala yake irejeshe ule wa zamani wa 8-4-4. Wakiongozwa na Paul Maundu walimu hao wamesema mtaala huo una gharama kubwa kwa mzazi huku pia akisema haukishirikisha wadau wote wa elimu kabla ya kuanzishwa kwake. Maundu amesema uhaba […]

BAADHI YA WALIMU TAITA TAVETA WATAKA CBC KUTUPILIWA MBALI Read More »

WANARIADHA WAPEWE PASIPOTI ZA KIDIPLOMASIA – ABABU

Waziri wa michezo Ababu Namwaba anasema sasa analenga kuanzisha mzungumzo katika wizara hiyo, mazungumzo yanayopania kuwapa wanariadha wa hapa nchini pasipoti za kidiplomasia, wanariadha wawe na uhuru wa kusafiki katika mataifa ya kigeni kuiuza kenya katika suala zima la michezo. Amesema hadi sasa taifa la kenya linatambulika sana ulaya kutokana ubora wake kwenye riadha hivyo

WANARIADHA WAPEWE PASIPOTI ZA KIDIPLOMASIA – ABABU Read More »

MTAALA WA ELIMU WA UMILISI CBC WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO KAUNTI YA KWALE

Hisia mseto zimeibuliwa na wakaazi wa kaunti ya Kwale kuhusiana na utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu (CBC). Baadhi ya wakaazi wameupinga mtaala huo na badala yake kuitaka serikali kuboresha mfumo wa zamani wa 8-4-4. Wakiongozwa na Hussein Mgunga, wakaazi hao wamedai kuwa wazazi wengi hawana uwezo wa kumudu gharama ya utekelezaji wa CBC. Kwa

MTAALA WA ELIMU WA UMILISI CBC WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO KAUNTI YA KWALE Read More »