HATUTAPELEKA WABUNGE QATAR, ASEMA KARANI WA BUNGE LA KITAIFA
Karani wa bunge la kitaifa Samuel Njoroge amekanusha madai kwamba bunge la kitaifa linalenga kutuma wabunge kwa ziara ya kombe la dunia nchini Qatar mashindano ambayo yanaanza rasmi siku ya Jumapili. Njoroge anasema mpaka kufikia sasa hajapokea pendekezo lolote kutoka mhasibu wa bunge hilo na kusistiza kwamba bunge la kitaifa kwa sasa linatilia mkazo kusitisha […]
HATUTAPELEKA WABUNGE QATAR, ASEMA KARANI WA BUNGE LA KITAIFA Read More »



