WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUWARIPOTI WAHALIFU KWA ASASI HUSIKA
Mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika shirika la kutete haki za kibinadamu la HURIA kaunti ya Mombasa Alex Nziwi ametoa wito kwa umma kuwaripoti washukiwa wa wizi na sio kuchukua sheria mkononi. Nziwa ambaye alikuwa akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu amekosoa hatua ya wananchi kuwapiga washukiwa wa uhalifu au hata kuwaua […]
WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUWARIPOTI WAHALIFU KWA ASASI HUSIKA Read More »



