Janet Mumbi

Idara ya afya kaunti ya Kilifi inaendeleza shughuli za kuwarai wananchi kutoa damu itakayosaidia kuwahudumia baadhi ya wagonjwa, katika hospitali ya rufaa ya kaunti hapa mjini Malindi na maeneo mengine ya kaunti ya Kilifi Kwa mujibu wa afisa mkuu anayehusika na masuala ya ukusanyaji wa damu katika kaunti hii Lazima Katana, ongezekya Kilifi. Akizungumza na […]

Read More »

WAWAKILISHI WADI WA KAUNTI YA KILIFI WABUNI MBINU ZA KUIMARISHA MICHEZO NA SANAA KILIFI

Wawakilishi wadi wa kaunti ya kilifi wamebuni mbinu ambazo zitasaidia kaunti hii kukuza talanta na michezo, tamaduni miongoni mwa vijana. Wakiongozwa na makamu mwenye kiti wa jinsia utamaduni na sana na michezo katika bunge hilo Maurice wanje ambaye pia ni mwakilishi wadi ya ganda viongozi hao wamesema tayari wamebuni hoja zitakazowasilishwa katika bunge hilo ili

WAWAKILISHI WADI WA KAUNTI YA KILIFI WABUNI MBINU ZA KUIMARISHA MICHEZO NA SANAA KILIFI Read More »

SOKA LA RABAI KUIMARISHWA NA MIKATABA YA WACHEZAJI – JOHN BARISA

Shirikisho la soka tawi la eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi linalenga kuanzisha utaratibu wa mikataba rasmi kwa wachezaji pamoja na vilabu ili kukabili tatizo la wachezaji kutofuata sheria wakati wa uhamisho. Akizunguimza na Tama la Spoti John Barisa ambaye ni katibu mkuu wa shirikisho hilo amesema kwamba mwakani wanamalengo ya kuanza kuwasilisha mikataba

SOKA LA RABAI KUIMARISHWA NA MIKATABA YA WACHEZAJI – JOHN BARISA Read More »