Paps Mkare

KAMISHA WA MOMBASA AWATAKA WAZAZI KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO WALIOMALIZA DARASA LA 8

Kamishna wa kaunti ya Mombasa John Otieno amewataka wazazi kuhakikisha kuwa wanawapeleka shule watoto wao waliomaliza darasa la nane ili kufanikisha mpango wa serikali wa asilimia mia moja ya wanafunzi wajiunge na shule za upili. Otieno amesema kuwa elimu ni muhimu sana katika kuhakikisha kuwa vijana wanaepushwa na kujiunga na magenge ya kihalifu. Aidha Otieno

KAMISHA WA MOMBASA AWATAKA WAZAZI KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO WALIOMALIZA DARASA LA 8 Read More »

ASKOFU KAKALA AMTAKA GAVANA WA KILIFI GIDEON MUNG’ARO KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA DINI

Askofu wa kanisa la Jcc mjini Malindi kaunti ya Kilifi Thomas Kakala amemtaka gavana wa kaunti ya KIlifi, Gideon Maitha Mung’aro kuwa karibu na viongozi wa kidini ili kunyoosha uongozi wake. Kwa mujibu wa Kakala jukumu kubwa la viongozi hao wa kidini katika maisha ya viongozi wa kisiasa, ni kuhakikisha kuwa wanawaombea kwa Mungu kutokana

ASKOFU KAKALA AMTAKA GAVANA WA KILIFI GIDEON MUNG’ARO KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA DINI Read More »