VIONGOZI WA TANA RIVER WAMPOGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO
Viongozi wa kaunti ya Tana River wameipongeza hatua ya rais William Samoei Ruto kuhusiana na kuufufua mradi wa hifadhi ya kitaifa ya chakula wa Galana Kulalu kwa kusitisha ugawanyaji wa mashamba kwenye ardhi ya mradi wa unyunyizaji maji. Wakiongozwa na Musa Wario ambaye ni kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Tana River, wamesema […]
VIONGOZI WA TANA RIVER WAMPOGEZA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »



