MBUNGE WA GALOLE KAUNTI YA TANA RIVER AITAKA SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA NCHINI
Kuna haja ya serikali kukabiliana na tatizo la uhaba wa maji kwa kuchimba mabwawa nchini. Haya ni kulingana na Mbunge wa Galole kaunti ya Tana River Said Hiribae, ambaye amesema iwapo hilo litatekelezwa wenyeji wa Bura, Galole na Garsen watanufaika pakubwa kwani mabwawa hayo yatawasaidia wenyeji katika kutekeleza kilimo nyunyizi. Hiribae pia amesema kando na […]
MBUNGE WA GALOLE KAUNTI YA TANA RIVER AITAKA SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA NCHINI Read More »



