Paps Mkare

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUANZISHA MIRADI YA MICHEZO MASHINANI

Afisa mkuu wa kudumu katika michezo kaunti ya Kilifi bwana Naftali Owino analenga kuanzisha timu za vijana wasiozidi umri wa miaka 12 katika soka pamoja na mpira wa kikapu kama mkakati moja wapo wa kukuza talanta za vijana kaunti ya Kilifi. Katika hotuba yake jana kwenye hafla ya Kilta Awards 2022 katika kanisa la Goshen

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUANZISHA MIRADI YA MICHEZO MASHINANI Read More »