COLLINS INJERA ATAMBULIKA KIMATAIFA
Collins Injera mwanaraga nguli wa hapa nchini ,36, pamoja na nyota wa miaka ya 90 wa raga ya Fiji Sevens Noa Nadruku,55, wanalengwa kuekwa katika orodha ya mashujaa wa mchezo huo almaafufu kama RugbyTown Walk of Fame zoezi ambalo litafanyika hii leo. Injera mchezaji lakini pia nahodha wa kikosi cha Kenya cha wachezaji saba kila […]
COLLINS INJERA ATAMBULIKA KIMATAIFA Read More »



