WAKULIMA KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJIANDAA KWA SHUGHULI ZA UPANZI
Wakulima kaunti ya Kilifi wametakiwa kupanda mimea ambayo huchukua mda mfupi kukomaa shambani, kutokana na kuwepo kwa mvua chache ambazo zinatarajiwa kushuhudiwa katika kaunti ya KIlifi. Haya ni kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya anga kaunti ya Kilifi, ambayo imeeleza kuwa ipo haja ya wakulima kushirikiana na maafisa wa kilimo nyanjani ili […]
WAKULIMA KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUJIANDAA KWA SHUGHULI ZA UPANZI Read More »



