SAMBURU LIONS YAICHAPA YANGA UGENINI
Klabu ya Samburu Lions jioni ya leo imesajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya klabu ya Yanga FC katika mechi ya daraja la pili kitaifa katika uwanja wa Alaskan mjini malindi kaunti ya Kilifi. Samburu lions walilazimika kutoka chini na kusajili ushindi huo wa ugenini baada ya kupigwa bao moja katika kipindi cha kwanza. Mkufunzi […]
SAMBURU LIONS YAICHAPA YANGA UGENINI Read More »



