Janet Mumbi

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU

Kinara wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa kutakuwa na maandamano kwa jina Unga revolution kila siku ya jumatatu baada ya maandamano ya jana jijini Nairobi na maeneo mengine ya taifa hili. Raila amesema kuwa maandamano hayo yanalenga kushinikiza serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha akisema kuwa kila siku ya jumatatu […]

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU Read More »

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA

Rais William Ruto amemtaka kinara wa Azimio Raila Odinga kutumia katiba kutatua changamoto zinazowakabili wakenya. Rais amezungumza haya katika ikulu ya Nairobi alipomuapisha solisita mkuu mpya shadrack Mose ambapo amesema kuwa kila mkenya bila kujali cheo au tabaka anapaswa kutii sheria ya taifa kwa mujibu wa katiba. Rais Ruto amesema kuwa kamwe hataruhusu watu wachache

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA Read More »

MANDONGA YWAREJEA KENYA NA ‘MLUNGAMBUNGA’ KAMA NGUMI YAKE MPYA

Mlungambunga ndio ngumi mpya atakayokuja nayo nchini Kenya Bondia wa Tanzania Karim Mandonga atakapokuwa anashuka ulingoni dhidi ya Kenneth Lukyamuzi raia wa Uganda. Bondia huyo mwenye umri wa miaka 43 atapigana katika pambano la raundi kumi na mpinzani wake wikendi ijayo baada ya pambano la marudiano na Daniel Wanyonyi matayarisho yake kutibuka katika matayarisho. Mandonga

MANDONGA YWAREJEA KENYA NA ‘MLUNGAMBUNGA’ KAMA NGUMI YAKE MPYA Read More »