MCHUNGAJI PAUL MACKENZIE ATIWA MBARONI
Maafisa wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai, DCI mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamemtia mbaroni mchungaji Paul Mackenzie wa kanisa la good news international, ambaye anadaiwa kuwapotosha kiimani wakaazi wa eneo la Shakahola kwa kuwataka kutowapa watoto wao chakula jambo ambalo limechangia kwa idadi kubwa ya watoto kuaga dunia. Kulingana na baadhi ya […]
MCHUNGAJI PAUL MACKENZIE ATIWA MBARONI Read More »



