Janet Mumbi

HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA

Katibu mkuu wa baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM Hassan Ole Nado sasa ameitaka serikali kuu kuangazia changamoto zinazowakabili Wakenya na namna ya kuzitatua. Kulingana na Ole Nado, gharama ya maisha inaendelea kuathiri maisha ya wengi na ni lazima mikakati iwekwe ili kuwanusuru Wananchi kwa sasa. Amemtaka Rais William Samoei Ruto kutojiingiza katika majibizano baina

HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA Read More »

WAZAZI ENEO LA WATAMU WAHIMIZWA KUTHAMINI MASOMO YA WATOTO WAO

Wazazi katika wadi ya Watamu eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi, wametakiwa kuchukulia kwa uzito zaidi suala la masomo ya watoto wao ili kuhakikisha wananufaika maishani. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi katika wadi hiyo wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya fedha za WARD SCHOLASHIP FUND, Shebwana Mohammed pamoja na aliyekuwa mwakilishi wa

WAZAZI ENEO LA WATAMU WAHIMIZWA KUTHAMINI MASOMO YA WATOTO WAO Read More »