Janet Mumbi

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATENGA FEDHA ZA KUNUA VIFAA VYA MATIBABU

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema serikali ya kaunti ya Kilifi imetenga fedha za kununua vifaa vya matibabu, katika hospitali ya Marafa eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa kiongozi huyo tayari wameagiza zaidi ya vitanda 100 vya kusaidia wagonjwa, watakokuwa wakilazwa katika kutuo hicho cha afya. Kulingana na […]

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATENGA FEDHA ZA KUNUA VIFAA VYA MATIBABU Read More »

KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII

Ipo haja ya wananchi pamoja na viongozi wa kijamii katika eneo la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, kushirikiana ili kutatua baadhi ya changamoto za kiusalama katika jamii. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa mipango katika shirika la kijamii la kuangazia usalama na amani la KECOSCE Maxwell Lumbasi, ambaye ametaja ukosefu wa ajira

KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII Read More »

JAMII YA WAMAKONDE KAUNTI YA KWALE YADAI KUTENGWA

Mwenyekiti wa jamii ya Wamakonde kaunti ya Kwale Thomas Nguli amesema jimii hiyo eneo bunge Msambweni imekuwa ikitengwa na serikali ya kaunti hiyo kwenye masuala ya ajira. Nguli amesema licha kutambuliwa rasmi kama Wakenya hawajakuwa wakihusishwa katika masuala ambayo yanahusu serikali ya kaunti ya Kwale. Aidha, ameipongeza serikali ya kitaifa kwa kuwatambua na kuwapa nafasi

JAMII YA WAMAKONDE KAUNTI YA KWALE YADAI KUTENGWA Read More »