TUKO TAYARI KUIWAKILISHA KENYA KIMATAIFA – OLUNGA
Nahodha wa timu ya taifa ya Harambee stars Michael Olunga ameeleza kufurahishwa kwake na shirikisho la soka nchini kwa maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Iran katika jaribio la kujipima uwezo wao katika ushuindani wa kimataifa. Harambe stars ambao mara ya mwisho kucheza mechi ya kimataifa ilikuwa mwaka 2021 dhidi ya Rwanda wamekuwa nje […]
TUKO TAYARI KUIWAKILISHA KENYA KIMATAIFA – OLUNGA Read More »



