HABARI

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri, Anthony Muheria ameitaka serikali kukoma kutoa ahadi zisizotimia na badala yake kuzamia utendakazi katika miaka miwili iliyobakia ya utawala wake. Muheria amelalamikia suala la taasisi za afya zinazo milikiwa na kanisa Kotoliki nchini Kenya, kudai serikali ya kitaifa zaidi ya shilingi milioni mia mbili hamsini, fedha ambazo […]

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YASISITIZWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UMILIKI WA ARDHI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI.

Baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Kilifi, wamemtaka rais William Ruto kutatua changamoto za uskwota katika eneo bunge la Magarini na kaunti ya Kilifi kwa jumla. Wakiongozwa na spika wa bunge la seneti Amason Kingi, wamesema kuwa idadi kubwa ya wakaazi wa kaunti ya Kilifi, wameendelea kuishi kama maskwota katika ardhi zao, kutokana na

SERIKALI YA KITAIFA YASISITIZWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UMILIKI WA ARDHI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

WAKAAZI WA KAUNTI YA KILIFI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME MASHINANI.

Kaunti ya Kilifi inatarajiwa kupata shilingi bilioni mbili za kuboresha huduma za usambazaji wa umeme, katika vijiji mbali mbali ndani ya kaunti hii. Haya ni kulingana na rais William Ruto, ambaye amesema ukosefu wa umeme wa kutosha katika eneo bunge la Magarini na kaunti ya Kilifi kwa jumla, ndiyo sababu kubwa ya ukosefu wa viwanda,

WAKAAZI WA KAUNTI YA KILIFI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME MASHINANI. Read More »