“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA.
Ni kauli ya aliyekuwa mgombea wa AUC, Raila Odinga ameweka wazi kuwa uamuzi wa kuwania wadhifa huo ulikuwa wake binafsi na wala si pendekezo la Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Odinga, amepinga madai ya kuwa rais William Ruto, alimshauri kuwania wadhifa huo, hii ikiwa njia mojawapo ya kumuondoa nchini Kenya. Akizungumza katika ikulu ya […]
“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA. Read More »



