SERIKALI YA KITAIFA YAONYWA DHIDI YA KUCHELEWESHA MGAO WA FEDHA KWA SHULE ZA UMMA.
Miungano ya walimu ya KUPPET na KNUT eneo la Pwani, imeitaka serikali ya Kitaifa kuharakisha shughuli za ugavi wa fedha za kufadhili masomo kwa wanufunzi wa taasisi za elimu za serikali. Wakingumza katika kaunti ya Mombasa, kwenye kongamano na walimu, viongozi hao wakiongozwa na katibu mkuu wa KUPPET kaunti ya Mombasa, Lynette Kamadi, pamoja na […]
SERIKALI YA KITAIFA YAONYWA DHIDI YA KUCHELEWESHA MGAO WA FEDHA KWA SHULE ZA UMMA. Read More »



