WANANCHI KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUTUMIA NJIA MBADALA KATIKA KUTATUA KESI ZA ARDHI KANDO NA MAHAKAMA.
Waziri wa Ardhi kaunti ya Kilifi, Jane Kamto amewataka wananchi kutokubali kuondolewa kwenye ardhi ambayo, wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka kumi na miwili. Kwa mujibu wa waziri Kamto, kuna haja ya uchunguzi wa mizozo ya ardhi kaunti ya Kilifi kufanywa, ili kusaidia katika kuwalinda wananchi dhidi ya kudhulumiwa na mabwenyenye. Akizungumza katika wadi ya […]



