HABARI

JAMII YA MIJIKENDA YAANZA MIKAKATI YA KUFUNZA VIJANA TAMADUNI HIYO.

Huenda visa vya mauaji ya wazee kwa tuhma ya uchawi huko Garashi eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi vikapungua kwa kiwango kikubwa, baada ya kuzinduliwa kwa kituo cha kitamaduni, kitakachotoa mafunzo ya mila na desturi za kimijikenda. Mwanzilishi wa kituo hicho Alex Katana, amefichua kuwa baadhi ya vijana wa kizazi cha sasa, wamekuwa wakitekeleza […]

JAMII YA MIJIKENDA YAANZA MIKAKATI YA KUFUNZA VIJANA TAMADUNI HIYO. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI.

Rais William Ruto wamehakikishia wakaazi wa Pwani kuwa watashuhudia miradi mingi ya maendeleo itakayo endelezwa na serikali yake. Akizungumza katika eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, kwenye ziara yake hapa Pwani, Ruto amesema kuwa kwa mda mrefu, kaunti za Ukanda huu zimeendelea kusalia nyuma kimaendeleo, kwani zimekuwa zikitengwa na serikali kuu. Akihutubia umma, amewataka wakaazi

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI. Read More »