KENYA YAPOTEZA SHILINGI BILIONI 52.
Waziri wa fedha John Mbadi, amefichua kuwa uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha ufadhili kwa Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID), utasababisha upungufu wa shilinghi bilioni 52, katika Mwaka wa kifedha wa 2024/25 kwa taifa hili. Mbadi ambaye alikifika mbele ya bunge la Seneti, ameeleza kuwa sekta zilizoathiriwa ni pamoja na […]
KENYA YAPOTEZA SHILINGI BILIONI 52. Read More »



