HABARI

MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA.

Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Hassan Joho, ametoa agizo la kuondolewa kwa mabwenyenye walionyakua ardhi za fuo za bahari kaunti ya Kwale, kwani walikiuka cha sheria za umiliki wa ardhi. Waziri Joho  amezitaka afisi za kamishna wa Kwale, wizara ya ardhi ,shirika la KWS  na ile ya mazingira  NEMA, kutumia […]

MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA. Read More »

HAYAWI HAYAWI HUWA.

Rais William Ruto amepongeza hatua ya aliyekuwa mpinzani wake mkuu katika uchaguzi wa mwaka 2022 Raila Odinga, kuunga mkono utendakazi wake katika taifa hili. Kulingana na Rais, hatua hiyo itasaidia pakubwa katika kupiga vita visa vya ukabila na ubaguzi wa wakenya wa maeneo mbali mbali ya taifa hili, hasa katika masuala ya maendeleo na siasa.

HAYAWI HAYAWI HUWA. Read More »

ASKOFU MARTIN KIVUVA ASHINIKIZA MALIPO YA MADENI YA HOSPITALI ZA KIBINAFIS NCHINI.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki eneo la Pwani, Martin Kivuva ametoa wito kwa serikali kuu, kutatua changamoto zinazo kabili wakenya wanaotumia bima ya matibabu SHIF, inayotekelezwa na mamlaka SHA, kupitia idara ya afya. Kivuva amesema kuwa, wakenya wengi wamekuwa wakiaga dunia huku wengine wakiendelea kupitia hali ngumu za kiafya, kutokana na ukosefu wa matibabu, kwani

ASKOFU MARTIN KIVUVA ASHINIKIZA MALIPO YA MADENI YA HOSPITALI ZA KIBINAFIS NCHINI. Read More »