HABARI

GIDEON MUNG’ARO ALAUMIWA KWENYE UTEUZI WA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI

Mwakilishi wa wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi Thaura Mweni, anadai gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro alitumia upendeleo katika kuwateua mawaziri katika baraza lake la mawaziri. Mweni anadai eneo bunge la Ganze, lilitengwa na halikupata nafasi hata moja ya uwaziri, akidai waziri aliyeteuliwa kushikilia idara ya majanga Felkin Kaingu sio mkazi wa Ganze […]

GIDEON MUNG’ARO ALAUMIWA KWENYE UTEUZI WA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI Read More »

MWANARIADHA WA UINGEREZA CJ UJAH APIGWA MARUFUKU YA MIEZI 22

Mwanariadha wa Uingereza mwite CJ Ujah amepigwa marufuku ya miezi 12 ya kutoshiriki mashindano yoyote kutokana na kupatikana na hatia ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Ujah mtimkaji ambaye amekiri kutumia dawa za Ostarine na S-23 marufuku hiyo sasa itamfanya kukosa mashindano ya olimpiki ya Paris yanayoandaliwa mwaka ujao 2023. Katika hukumu iliyotolewa na

MWANARIADHA WA UINGEREZA CJ UJAH APIGWA MARUFUKU YA MIEZI 22 Read More »

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA

Wadau wa soka nchini Kenya wanapozidi kususubiri ligi kurejea kwa hali shwari baada ya swala zima la marufuku ya FIFA kuondolewa na ujio wa waziri mpya wa michezo Ababu Namwamba kuanza rasmi kazi yake, sasa washikadau wa michezo mashinani wameazimia kuanzisha mafunzo ya makocha ili kuboresha sekta hiyo wakati wakisubiri hali nzuri kurejea. Akizungumza na

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA Read More »