MWANARIADHA WA UINGEREZA CJ UJAH APIGWA MARUFUKU YA MIEZI 22

Mwanariadha wa Uingereza mwite CJ Ujah amepigwa marufuku ya miezi 12 ya kutoshiriki mashindano yoyote kutokana na kupatikana na hatia ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli.

Ujah mtimkaji ambaye amekiri kutumia dawa za Ostarine na S-23 marufuku hiyo sasa itamfanya kukosa mashindano ya olimpiki ya Paris yanayoandaliwa mwaka ujao 2023.

Katika hukumu iliyotolewa na kitengo cha kuchunguza uadilifu wa wanariadha duniani kwa ushirikiano na idara nyingine za michezo, uingereza imepokonywa medali zote alizoshinda Ujah katika kipindi hicho ikiwepo ile ya mbio za kupokezana vijiti iliyoshindwa na uingereza ambako Ujah alihusika.