AFC LEOPARDS WATANGOJA SANA
Juhudi za klabu ya AFC Leopards za kumaliza ukame wao wa Mataji zimegonga Mwamba, klabu hio Ikibanduliwa nje ya michuano ya FKF cup na kamati ya ligi ya mashindano ya FKF, hii ni baada ya mechi kati yao na Mara Sugar Kusitishwa mashabiki wa Ingwe walipozua Rapsha. Rapsha Hio ilizuka kwenye dakika Za lala salama […]
AFC LEOPARDS WATANGOJA SANA Read More »


