SEPP BLATTER AKIRI MAKOSA YA KUIPA QATAR NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA
Aliyekuwa rais wa shirikisho la soka dunia fifa, Sepp Blatter amekiri kwamba maamuzi ya kamati kuu ya fifa kuipa Qatar nafasi ya kuandaa mashindano ya kombe la dunia ilikuwa makosa. Kamati hiyo mwaka wa 2010 ilipigia kura Qatar kushinda nafasi hyo kwa kura 14-8 ambapo taifa la marekani lilikuwa linangangania nafasi hiyo. Amemlaumu Michael Plattini […]
SEPP BLATTER AKIRI MAKOSA YA KUIPA QATAR NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA Read More »



