HUDUMA ZA MATIBABU ZATARAJIWA KUIMARIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA
Mikakati mbalimbali inapoendelea kuwekwa na serikali ya kaunti ya Taita Taveta ili kuimarisha maisha ya wenyeji hasa kwenye idara ya afya, tayari mawaziri 6 wa kaunti hiyo wamekabidhiwa ofisi rasmi. Miongoni mwao ni waziri wa afya Gifton Mkaya ambaye amekabidhiwa ofisi hiyo na aliyekuwa waziri wa afya John Mwakima, wakazi wakiwa na matarajio mengi kwa […]
HUDUMA ZA MATIBABU ZATARAJIWA KUIMARIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA Read More »



