HATIMAYE HAKIM ZIYECH AREJESHWA KIKOSINI MOROCCO
Winga wa klabu ya Chelsea mwite Hakim Ziyech ameitwa rasmi sasa katika kikosi cha timu ya taifa ya Morocco na mkufunzi mpya wa kikosi hicho mwite Wahid Regragui ambaye amekitaja rasmi kikosi chake hii leo. Kikosi cha wachezaji 26 wa Atlas Lions sasa watategemea huduma za Ziyech kwenye kombe la dunia baada ya kutemwa nje […]
HATIMAYE HAKIM ZIYECH AREJESHWA KIKOSINI MOROCCO Read More »



