HIMIZO LATOLEWA KWA WANANCHI NA ASASI ZA SERIKALI KUENDELEA KUDUMISHA AMANI
Wananchi, asasi mbalimbali za serkali na wadau wamehimizwa kuzingatia amani iliyoshuhudiwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka huu wa 2022. Haya ni kwa mujibu wa afisa kutoka kamati ya utekelezaji wa amani kitaifa benard Gitau ambaye amewapongeza wananchi kwa kuzingatia amani na utulivu kwenye uchaguzi uliokamilika mwezi wa nane. Akizungumza […]
HIMIZO LATOLEWA KWA WANANCHI NA ASASI ZA SERIKALI KUENDELEA KUDUMISHA AMANI Read More »



