HABARI

ABBAS KUNYO ATAKA BAJETI KUONGEZWA KWA SEKTA YA ELIMU TANA RIVER

Waziri wa elimu kaunti ya Tana River Abbas Kunyo amesema kuna haja ya bajeti kuongezwa katika sekta ya elimu kwenye kaunti hiyo ili kuiboresha. Kulingana na Kunyo iwapo hilo litatekelezwa bajeti hiyo itatumika kushughulikia kikamilifu miundomsingi, kuajiri walimu na vifaa katika shule za chekechea. Amesema mgao wa bajeti ambao unatengewa idara ya kidogo mno licha […]

ABBAS KUNYO ATAKA BAJETI KUONGEZWA KWA SEKTA YA ELIMU TANA RIVER Read More »

VUGUVUGU LA UDA KAUNTI YA MOMBASA LAITAKA EACC KUCHUNGUZA MADAI YA UBADHIRIFU WA FEDHAA ZA UMMA

Vuguvugu la chama cha UDA kaunti ya Mombasa limeitaka tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC kuanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ufujaji wa fedha za umma katika serikali ya kaunti hiyo ya kima cha shilingi bilioni. Likiongozwa na mwenyejiti Salim Kuza pamoja na msemaji wa vuguvugu hilo Michael Nato linasema ni lazima uchunguzi

VUGUVUGU LA UDA KAUNTI YA MOMBASA LAITAKA EACC KUCHUNGUZA MADAI YA UBADHIRIFU WA FEDHAA ZA UMMA Read More »

WAHUDUMU WA TUKTUK NA PIKIPIKI MJINI MALINDI WATOA HISIA ZAO KUHUSU USALAMA

Wahudumu wa bodaboda na Tuktuk kaunti ndogo ya Malindi kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kupitia idara ya usalama kuingilia kati kusaka suluhu la kudumu kutokana na ongezeko la utovu wa usalama unaopelekea wahudumu hao kuibiwa pikipiki zao na hata kuuawa. Wakiongozwa na Rodgers Thoya wanabodaboda hao wameitaka idara ya usalama kushirikiana nao na jamii kwa

WAHUDUMU WA TUKTUK NA PIKIPIKI MJINI MALINDI WATOA HISIA ZAO KUHUSU USALAMA Read More »