WAZIRI WA UTALII NCHINI PENINA MALONZA AMEAHIDI KUIMARISHA SEKTA KIVUTIO CHA UTALII CHA FORT – JESUS
Waziri wa utalii nchini Penina Malonza ameahidi serikali kuu itahakikisha inaimarisha kivutio cha watalii cha Fort – Jesus sambamba na maeneo mengine ya kitalii yaliyoko kaunti ya Mombasa. Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari baada ya kufanya ziara kwenye vituo mbalimbali vya kitalii kaunti ya Mombasa, Malonza amesema hatua hiyo itasaidia kuwavutia watalii zaidi […]



