GAVANA WA MOMBASA AMEAHIDI KUSHIRIKIANA NA IDARA YA USALAMA
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameziomba asasi za usalama pamoja na Viongozi kaunti ya Mombasa kufanya kazi pamoja ili kuimarisha Usalama. Akizungumza kwenye kikao kilichowaleta pamoja viongozi wa kisiasa kaunti ya Mombasa na maafisa wa Usalama katika eneo bunge la Nyali Nassir amesema hali ya usalama katika kaunti hiyo inapaswa kuimarishwa vilivyo […]
GAVANA WA MOMBASA AMEAHIDI KUSHIRIKIANA NA IDARA YA USALAMA Read More »



